Thursday, August 16, 2012

Mzee Mwaropa bega kwa bega na Kikwete..

Huyu Mzee aliekaa kulia kwa Rais Kikwete anaitwa Mohammed Mwaropa, ni mzee wetu wa Tanga na ni baba ya rafiki zangu wawili Hamad na Mwinyusi Mwaropa. Nilisomanao Bombo Shule ya msingi. safi sana JK. Hii ilikuwa ni jana katika Futari mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment