Friday, April 19, 2013

Kikwete akutana na wafanya biashara wa Uturuki.

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akuzungumza na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Uturuki ulioongozwa na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye Viwanda Uturuki (TUKSON) Bwana Razanar Meral (wa tano kutoka kushoto), Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

Picha kwa hisani ya Ikulu.

No comments:

Post a Comment