Sunday, April 28, 2013

Dk Gharib Bilal arejea kuhutubia Chuo kikuu cha Dodoma akiwa makamu wa Rais baada ya kuwa mkuu wa chuo hicho kwa muda mrefu.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia michoro ya picha zinazochorwa na wanafunzi wa Taasisi ya Confucius inayotoa elimu ya Lugha na Tamaduni za Kichina, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma, ambayo ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina. Uzinduzi huo umefanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha Dodoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni baada ya uzinduzi huo. Picha zote kwa hisani ya ofisi ya Makamu wa Rais. 

No comments:

Post a Comment