Saturday, April 27, 2013

TUMETOKA MBALI...

Katika picha hii nawaona wapiga picha wakongwe kwenye fani ya uanahabari. Waliosimama mbele wa kwanza na wa mwisho Ni Muhidin Michuzi (wa kwanza kulia mwenye shati la bahama, Mpiga picha wa Rais na mmiliki wa Michuzi blog) na wa mwisho kutoka kulia (mwenye shati jeupe) ni Richard Mwaikenda (mpiga picha wa Jambo Leo). Upande wa Nyuma mgongoni mwa Michuzi mwenye (miwani) ni Senga (mpiga picha wa Tanzania Daima) ambaye amekuwa mpiga picha bora mwaka huu. Mpiga picha mweingine ni Deus Mhagale wa tatu alipotoka Senga yaani alipo Senga kuna mtu amevaa suti anaefuata ndiye Deus (piga picha wa (New Habari).

No comments:

Post a Comment