Friday, April 19, 2013

China kusaidia tasnia ya sanaa nchini.

wachina 023 bKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo   Bw. Seth  Kamuhanda akizungumza na ujumbe kutoka  Shirikisho la Fasihi na Sanaa kutoka China ukiongozwa na Bi  Yang Chengzhi  wa kwanza kushoto waliokuja kutembelea kituo cha Tingatinga pamoja na Baraza la sanaa kama sehemu ya kujifunza utajiri wa sanaa nchini, wa kwanza  kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Pro.Hermas Mwansoko.
(Picha na Beatrice Mlyansi-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment