Wednesday, April 24, 2013

JK akutana na viongozi wa dini ya Kikristo, Ikulu.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam. Picha kwa hisani ya Ikulu.


No comments:

Post a Comment