Thursday, April 18, 2013

Rais ahudhuria misiba miwili Zanzibar...

 Rais Kikwete kishiriki mazishi ya msanii mkongwe wa Taarab Fatma Bint Baraka au maarufu Bi Kidude mjini Zanzibar leo.
Rais wa Tanznaia Jakaya Kikwete akionekana katika picha tatu tofauti akishiriki mazishi ya Bi Kidude na kaka wa Makamu wa Rais wa Tanzania Dk Mohammed Gharib Bilal,, Haji Gharib Bilal mjini Zanzibar leo.No comments:

Post a Comment