Sunday, April 28, 2013

Kuna kitu nimejifunza, Rais Jakaya Kikwete amekuwa karibu mno na Rais Kenyatta kabla na baada ya kuwa Rais..

 Hapa marais watatu wa Kenya, Burundi na Tanzania wakiwasalimia wajumbe wa mkutano jijini Arusha leo.

Hii ni picha ya kwanza inayomuonyesha Rais Uhuru Kenyatta akiwa na marais wa jumuiya ya Afrika mashariki jijini Arusha leo.

No comments:

Post a Comment