Friday, April 19, 2013

Mafuriko Arusha.


Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika akiwa amekaa mbele ya nyumba yake iliyojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jijini Arusha jana. Mafuriko hayo kwa mujibu wa taarifa ya Polisi yamesababisha kifo cha mtu mmoja.

Picha kwa hisani ya Full Shangwe blog.

No comments:

Post a Comment