Friday, April 26, 2013

Misitu ni uhai, hiyo ndiyo kauli mbiu ya kidojembe.Viongozi katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa wakiuzima moto katika msitu wa Mivumoni Wilayani Pangani wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo ambapo katika mikutano yake alikemea vikali uchomaji moto wa misitu. Picha na Salim Mohamed.


Wanawake wahifadhi mazingira wa Kata ya Katesh Wilayani Hanang' Mkoani Manyara,wakiandaa miche ya Michongoma kwa ajili ya kuiuza ambapo mche mmoja wanauuza kwa Tsh100:Picha na Joseph Lyimo.

No comments:

Post a Comment