Monday, April 22, 2013

Kikwete atembelea ujenzi wa nyumba za walimu kijijini kwao Msoga.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza  jambo Diwani wa Kata ya Msoga Bwana Mohamed Mzimba wakati Rais alipotembelea shule ya Sekondari ya Mboga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo . picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment