Sunday, April 28, 2013

Uhuru Kenyatta atembelea Tanzania kwa mara ya kwanza tangu awe Rais wa Kenya.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili jana jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.

Rais Kenyatta akiwa na mkewe wakiangalia ngoma ya wamasai ambao wapo Tanzania na Kenya katika uwanja wa Kilimanjaro jana.

No comments:

Post a Comment