Tuesday, April 30, 2013

Jaji mkuu amtembelea Spika wa Bunge la Tanzania

 Jaji mkuu wa mahakama kuu Tanzania othman Chande, akizungumza na Spika wa Bunge la Ganzania Anne Makinda alipomtembelea ofisini kwake Dodoma leo.


 Jaji mkuu Othamn Chande akiwa na ujumbe wa Mahakama kuu ya Tanzanaia ofisini kwa Spika wa Bunge Anne Makinda mjini Dodoma leo. Jaji mkuu ametembelea Bunge kufanya mazungumzo na Spika na kuangalia shughuli za bunge.


Mbunge wa Maswa (CHADEMA) Mhe. John Shibuda akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kuelekea Ofisi ya Spika alipofika viwanja vya Bunge leo. Jaji Mkuu na Ujumbe wake walimtembelea Mhe. Spika na kufanya nae Mazungumzo Ofisini kwake Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment