Monday, April 22, 2013

Mama Salma Kikwete aongoza uzinduzi wa wiki ya Chanjo mkoa wa Pwani leo.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa maabara kituo cha afya cha Mlandizi wilayani Kibaha mkoa wa Pwani, Bwana Sostenes  Nyang’olo, jinsi ya kuchukua vipimo vya damu na makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyofanyika huko Mlandizi leo tarehe 22.4.2013. Katikati ni mbunge wa Mlandizi Hamoud Jumaa.Mama Salma Kikwete akimpa chanjo mtoto wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo Mkoa wa Pwani leo.

Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog.

No comments:

Post a Comment