Friday, April 26, 2013

UWEKAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA KIVUKO CHA DSM-BAGAMOYO



3-- mtendaji mkuu TEMESA,magufuli,sadick na mrangoMtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Marceline Magesa (kulia) akizungumza  katika hafla ya uwekaji saini  mkataba wa ujenzi wa kivuko cha Dar es Salaam- Bagamoyo leo jijini . Kivuko hicho  kitakuwa na uwezo wa  kubeba watu 300 , kitagharimu  shilingi7.91 bilioni.(bilioni7.91 za tz).Pichani  kutoka kulia ni Waziri wa Uchukuzi Dkt,John Magufuli,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Mecky Sadick, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi , Balozi Herbert Mrango.
4-hii ndo meli itakavyokuwaPicha ya mchoro ya kivuko cha  Dar es Salaam – Bagamoyo kitakavyokuwa.5- uwakaji saini (mama kulia) na mwakilishi pamoja na viongozi na watendaji wa kuuMtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Marceline Magesa (mwanamke) , na mwakilishi wa kampuni ya  JOHS GRAM HANSSEN A/S ya  Denmark  Andreas Gottrup wakiweka  saini mkataba wa ujenzi wa Kivuko  cha Dar es Salaam- Bagamoyo leo jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyoshuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (aliesimama katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick(alie vaa  shati la kitenge) Balozi wa Denmark nchini Tanzania  Mh, Johnny Flinto (mzungu aliesimama  mstari wa nyuma). Pamoja na watendaji wakuu wa  Wizara ya Ujenzi.
6-wakibadilisha kati za mikataba7-RC Mecky Sadick akiongea. magufuli(kushoto)Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadick Mecky (kulia) akizungumza wakati wa  hafla ya uwekaji saini mkataba wa ujenzi wa  Kivuko cha Dar es salaam – Bagamoyo. Kivuko hicho kitagharimu shilingi 7.91 bilioni za kitanzania. Mwengine ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.9-magufuli (kulia) akiongea na BaloziWaziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akiongea na Balozi wa Denmark nchini Tanzania Mh. Johnny Flinto,katika  sherehe ya uwekaji  saini mkataba wa ujenzi wa kivuko cha Dar es Salaa- Bagamoyo (April 25, 2013).
10-prof. Mshoro (kulia) na mwakilishi wa kampuniMwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya TEMESA, Prof. Idrisa Mshoro (kulia) akimueleza  jambo  Mwakilishi wa  kampuni ya JOHS GRAM HANSSEN A/S ya Danmark , Andreas Gottrup wakati wa sherehe za uwekaji saini mkataba wa ujenzi wa kivuko cha Dar es Salaam- Bagamoyo jijini Dar es  Salaam(April,25,2013).
11-waziri magufuli akiongea ktk haflawaziri wa ujenzi Dr. John magufuli akiongea katika hafla hiyo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa

No comments:

Post a Comment