Baadhi ya walimu wa shule ya Silabu, iliyo Wilayani Korogwe Tanga wakiangalia darasa-uchochoro
Mizeki Charahani, ambae ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo akiwa ofisini kwake akijidaidai.....
Wanafunzi hawa wa darasa la tatu, usidhani wapo mapumzikoni, wapo darasani hapo wanakula nondoz.
Picha kw ahisani ya Mjengwa Blog...
No comments:
Post a Comment