Asalam
Kama kawaida sasa tunakaribia kumaliza Ramadhan, inabidi kula vyakula vya mchana ili kujizoesha.
Leo tutakula ugali na nyama ya kukausha na viungo.
matunda mengi na maji ya kutosha.
Nitangulioze kuomba radhi leo nitakuwa katika ziara ya madiwani kutembelea mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini. nina tui jikoni.
No comments:
Post a Comment