Wednesday, August 8, 2012

Futari ya leo.


Habari za asubuhi wandugu,

Futari yetu ya leo tutakula Maandazi (mahamri), mchuzi wa samaki, nyama ya kukausha na viungo (spices), mihogo ya kuchemsha, kunde za sukari na tambi za mapapai.

Chai ya maziwa na juice ya maembe.

No comments:

Post a Comment