Sunday, August 5, 2012

Jamani leo jembe nimepote maeneo ya kigogo gilman Rutihinda. Siku nyingi sijakuja mpaka mwamba nikapotea njia hatwari hii...

 Nilikuwa nakwenda kwa mama mdogo Kigogo, nikapotea njia hao watoto ndiyo wakanielekeza... mhhh

Mpaka nikatokea hapa nyuma ya Shule ya msingi Gilamn Rutihinda. Njia hii ndiyo niliyokuwa nikipita zamani, sasa imefungwa maana watoto walikuwa wanatoroka sana....

No comments:

Post a Comment