Sunday, August 5, 2012

Leo mimi na mwamba tulikuwa Salon moja adhwiiim tunajitengeneza. Tunajiandaa na Sikukuu. Sisi ni mabohora sikukuu yetu imebaki siku cahche....

Jembe akitengenezwa nywele huwa haongei anaogopa atakula nywele...

Huyu ndie Abbas El Sabry, mtangazaji wa Radio Kheir ya jijini Dar es Salaam. Anatengenezwa nywele huku anaongea na jembe, hayupo pichani.

No comments:

Post a Comment