Tuesday, August 14, 2012

Jembe hili limeamua kujiajiri kupitia muziki. Kwa wanaomfahamu chuoni KIU alikuwa katika vuguvugu la mabadiliko. Nilishiriki vikao vingi nikiwa nae, na namshukuru Mungu nilikuwa miongoni mwa wadau waliompitisha kuingia katika serikali ya umoja ambapo alikuwa waziri wa sheria KIU chini ya Rais Ignatius Muhatia... upo juu kaka...


KWA WALE WAPENZI WA MUZIKI WA INJILI
MIMI JORDAN BALINDO, NIMETOA ALBUM YA MUZIKI WA INJILI NA SASA INAPATIKANA KATIKA MFUMO WA AUDIO NA BEI YAKE NI SHILINGI ELFU TANO (5000) TU. CHANGIA MAANDELEO YA MUZIKI NA WASANII KWA KUNUNUA KAZI WAZITOAZO. ILI KUPATA CD YANGU HII YENYE NYIMBO KUMI, PIGA SIMU NAMBA 0753394091 AMA 0652312117 AU NITUMIE MESSAGE KWA FACEBOOK KUELEZA NIA YA KUNUNUA NAMI NITAPANGA KUKUFIKISHIA PALE ULIPO. UBARIKIWE!

No comments:

Post a Comment