Saturday, August 4, 2012

Jk afungua warsha ya maendeleo mjini Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amefungua warsha ya kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri na makatibu wakuu wa wizara pamoja na wakuu wa taasisi za serikali nchini.



 

 Viongozi hawa wakisikiliza kwa makini maelezo ya wawezeshaji wa warsha hiyo ya kimaendeleo.


JK na viongozi wakuu wa serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha hiyo leo asubuhi mjini Dodoma katika ukumbi wa St Gaspar.


PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment