Saturday, August 4, 2012

Kamera ya jembe mtaani...

                               kariakoo hii wadau, siku ya jumamosi pirika zipo nyingi kwelikweli.

 Jamani ramadhani kweli inakaribia kuisha, Kariakoo hii leo asubuhi watu wengi wananunua vifaa vya sikukuu kabisa ili siku hiyo ikikaribia wasinunue kwa bei ya juu.

 Huyu nae hata siju kapata matilaba gani, maana nimemkuta katikati ya barabara ya morogoro amekaa chini na jua kali.

 Ahahaaaa huyu jamaa amenichekesha kweli leo katika mtaa wa Agrey kariakoo, ati anauza CD za historia ya Freemason.. ahahaa kweli wajinga ndio waliwao.

Huyu swahiba anauza samaki wa kukausha, sijaamini maana ndani ya dakika kadhaa watu walijaa na kununua kwa wingi.

No comments:

Post a Comment