kutoka kushoto Rais Paul Kagame(Rwanda), Jakaya Kikwete mwenyewe (Tanzania), Yoweri Museven (Uganda), na Joseph Kabila (Democratic Republic of Congo)
Hapa ni kama wanafanya utani (JK leo swaum imepanda?) ahahaaaaaaaahahaahhaaaahahhaaaa. Mara nyingi Kagame na Museven wakionana na JK wanapenda kuzungumza kiswahili.
No comments:
Post a Comment