Kumbe mpaka Bongo kuna kundi la Mungiki? Sasa wenzenu wa Kenya kiongozi wao Maina Njenga, ametubu nyinyi vp?
Tunaposema usifuate nyayo za Simba hivi ndivyo tunavyomaanisha.
Hapo vipi, unakata tamaa chini ya Bendera ya chama machachari cha Siasa nchini? Mhhh hatari wadau.
No comments:
Post a Comment