.
Monday, August 6, 2012
Kweli JK jembe.....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki mazishi ya Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi, aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88 pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
Picha kwa hisani ya Mjengwa blog.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment