Asalam Allaykum,
Leo tutapika choroko za maua (pojo za nazi), ndizi mbichi za nazi na utumbo, makaroni, samaki wa kuchemsha bila mchuzi, vitumbua na maharage ya sukari.
Chai ya mkandaa (black tea), juice ya maji ya miwa na maembe dodo. Usisahau kunywa maji meeengiii kwa afya yako.
No comments:
Post a Comment