Wednesday, August 1, 2012

Leo tarehe 1 August ndiyo siku aliyozali Mpambanaji Edward Moringe Sokoine... Waziri Mkuu wa zamani Tanzania.




                                         (01/08/1938-12/04/1984)
Picha mbali mbali zikionyesha mpambanaji akiwa kazini, ya chini kabisa inaonyesha mwili wa Sokine ukililiwa na baba wa Taifa. Alifariki 12 April 1984 kwa ajali ya gari eneo la Wami-Dakawa mjini Morogoro akitokea Dodoma kwenye kikao cha bunge akiwa waziri mkuu.

No comments:

Post a Comment