Mikutano ya wajumbe wa kamati ya katiba mpya inaendelea...
Wajumbe katika mkutano wa Tume unaoendelea unaolenga kufanya tathmini
ya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo
unafanyika katika ofisi za Tume hiyo jijini Dar
es salaam.
No comments:
Post a Comment