Tuesday, August 14, 2012

Timu ya Tanzania imeagwa rasmi London. Itawasili leo nchini.

Ati zipo taarifa kuwa timu ya Olympic itasusiwa mapokezi yake baada ya kufanya vibaya katika michuano hiyo. Mhhhh hapa wakiwa na balozi Peter Kalaghe, anaeiwakilisha Tanzania Uingereza.

No comments:

Post a Comment