Friday, August 3, 2012

Vijipicha vyetu leo...

                            Hii ni Hospitali ya Bombo Mjini Tanga, enzi hiiizooooooo za Ukoloni.

           Ramadhani nzuri jamani Huyu ni jembe Eddy Shossy (Chadogi) akichoma samaki, juzi Usiku.

 Mpaka sasa umeshapata kujiuliza Mwenge una maana gani kwa Taifa letu. je? ulishashiriki kukimbiza Mwenge? Unakumbuka kipindi tupo Shule ya Msingi tukiusubiri Mwenge barabarani siku nzima?

                  Wabongo tuna utaalamu wa hali ya juu ila hatupo 'serious' (Picha kwa hisani ya Mjengwa blog)

Hawa madogo wa Ziwa Nyassa, Kwao Shule ni zaidi ya kukaa darasani. Hawatopata tabu kujiunga na jeshi. (picha kwa blogu ya Mjengwa)

No comments:

Post a Comment