Yanga yapeleka Bungeni kombe la kagame... Raaha au sio raahaaa?
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mama Fatuma Karume wakishikilia
Kombe la Kagame lililotwaliwa na Yanga hivi karibuni lililoletwa na wachezaji
wa Yanga na Viongozi wao akiwemo Kocha wao mpya Tom Saintfiet Bungeni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment