Monday, August 6, 2012

Fina Mango kumbe kakimbilia Magic FM...

Hapa Mbunge wa zamani wa Nyamagana- Mwanza Lawrence Masha, na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe wakiwa na mtangazaji wa Magic FM katika kujadili masualan ya kisiasa nchini...
Mtangazaji Fina mango awali alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM ya jijini.

No comments:

Post a Comment