Mara baada ya kusubiri kwa muda ilipofika saa saba na nusu mzee Ramadhan Said, akaanza kutoa vifaa vya watuhumiwa hao..
Hata nyaraka za wanaoomba kujinga na tanesco pia wanazo..
Hapa bibie Badra Masoud akielezea jambo kabla mtuhumiwa hajaongea chochote,....
Hapa mtuhumiwa Mussa akizungumza na wanahabari huku anatetemeka anajua jela inamuhusu...
Huyu ndie mzee mwenye nyumba (alienyoosha mkono) akijibu maswal ya wanahabari, cha ajabu hata yeye hakuwa akijua mpangaji wake alikuwa anahusika na biashara gani...
Hili ndilo gari la mtuhumiwa likiwa limepaki ne ya ofisi, buheeeri wa afya jamaa anakula nchi..
Hizi ni nyaya zilizounganishwa kwa majirani na huyu mjamaa. Angalia nguzo moja imeunganisha nyumba tatu...
Hapa waandishi wakijipongeza baada ya siku nzima ya kazi. Hii ilikuwa ni saa tisa kazoro...
Hapa waandishi wakipanda gari ya shirika la tanesco wakipelekwa katika news room zao.. saa tisa hii...
No comments:
Post a Comment