M4C LONDON
CHAMA
CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KINAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE
WAISHIO LONDON NA SEHEMU ZA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA UFUNGUZI WA TAWI
LA CHADEMA LONDON. TAWI AMBALO LITAFUNGULIWA NA MHESHIMIWA GODBLESS LEMA
UFUNGUZI
HUO UTAFANYIKA THATCHED HOUSE PUB ILIYOPO BARKING SIKU YA JUMANNE
07/08/2012 AT 20:00 SAA MBILI USIKU.
KATIKA
MKUTANO HUO PIA WATACHAGULIWA VIONGOZI MBALI MBALI WA CHADEMA TAWI LA LONDON .
TUNAWAOMBA WANA CHADEMA WOTE WAJITOKEZE KWA WINGI KUJA KUHUDHURIA
TUKIO HILI LA KIHISTORIA.
Venue ; Thatched House Pub
RIPPLE
ROAD, BARKING, ESSEX, IG11 9PGKwa maelezo zaidi wasiliana na CHRIS
LUKOSI 07903828119
No comments:
Post a Comment