Viongozi wa Somalia
wanaokutana Mogadishu
kwa wingi wameipitisha katiba mpya ya nchi hiyo hivyo kufungua njia kwa
serikali mpya kuchaguliwa mwezi huu.
Chini
ya mpango ulioungwa mkono na Umoja wa Mataifa bunge jipya litachagua kiongozi
mpya wa Somalia Agosti 20.
Serikali
yake ya mwisho iliondolewa madarakani mwaka 1991.
Chanzo: BBC Swahili.
No comments:
Post a Comment