Thursday, August 2, 2012

Kunradhi,

Ndugu zangu,

Kesho tutakuwa na gazeti toleo maalum, Kawaida sisi gazeti Raia Mwema tunakuwa na gazeti moja tu kila jumatano. Lakini ikitokea haja ya kutoa toleo maalum huwa tunafanya hivyo. Kwa hivyo nitapotea kidogo mpaka muda wa mchana.

Natakiwa nihudhurie mkutano wa wanahabari tumeitwa na chama cha waalim CWT sijui wanataka kutoa tamko gani? Labda kusitisha mgomo.

Baadae wadau, nadhani mtanivumilia.

No comments:

Post a Comment