Kile kikosi kazi hii ndiyo ilikuwa kazi yao...
Hatimae gari ikavutwa ili kupisha njia Bus zipite...
Balaa likawa kwenye kurudi kwenye gari yako, watu walipanda bodaboda...
Ambao hawakuwa na uwezo wa bodaboda walichapa mguu kama kawa..
Kumbe mpaka mkoa wa pwani wana Mangi wao wa kuuza duka,... mhhh
Haya sijui ni makumbusho ya Kijiji, maana hii rukwama (mkokoteni) si wa wakati huu
Njaa haina adabu watu wakaanza kuchapa ndizi ili kuipoza..
Kumbe hili eneo linaitwa makole mmeamini wadau?
Soko la kijiji hili jamani vijana wadogo walitakiwa kuwa darasani hawa..
Hili ni kanisa jamani, Kiswahili lugha ya Taifa, je tutafika?
Wakati nikirudi Dar es Salaam, kutoka tanga haya magari yaliyoua niliyakuta katika kituo cha polisi Wami...
Hamna matukio mengine? coz nimemic mno hcho kijiji.
ReplyDelete