Waandishi wakasubiri mpaka wakaanza kusinzia tena...
Waandishi wakaanza kuendaa nje ili kupanda magari..
Hapa waandishi wakisubiri magari kwa ajili ya kuenda eneo la Leaders club kupata chai kwa ambao hawajafunga huku wanasubiri taarifa ya kuvamia eneo la tukio..
Hapa Badra anaita magari waandishi wapande.
Hapa waandishi wakishuka eneo la Leaders Club ili kupata supu na soda wakisubiri 'signal' kutoka eneo. Hii ilikuwa ni saa sita kamili mchana.
Waandishi wanaserebuka na kunywa. Lakini walikaa mpaka saa saba na nusu simu haijapigwa.
Simu imeshapigwa wakaambiwa waende eneo la Mwananyamala Hospital ili kuambiwa ni wapi..
Waandishi wameshafika eneo la tukio, Mwananyamala A. wanapiga picha....
Askari nao walikuwepo kuhakikisha usalama wa kutosha unakuwepo. Hakuna mchezo hapo.
Hapa wanaweka kamera sawa ili kuhakikisha hakuna kinachoharibika.
No comments:
Post a Comment