1. Chris
Cremence
100,000
2.
Anonymous
500,000
3. Maggid
Mjengwa
100,000
4. Raymond
Kasoyaga
20,000
5.Edward
Mgogo
10,000
6.Joachim
Kiula
5,000
7.Libory
Muhanga
5,000
8.Geofrey
Kagaruki
10,000
9.Sadiki
Mangesho
10,000
10. Edwin
Namnauka
40,000
11.Daud
Mbuba
10,000
12.
Anonymous
200,000
13.Mikidadi Waziri
6,000
14. Bungaya Mayo
5,500
15. Abraham Siyovelwa
50,000
16. Godfrey Chongolo
22,222
17. Jacob Mwamwene
51,000
18. Denis Bwimbo
153,683
19. Zanzibar Ni Kwetu
150, 464
20.Felex Mpozemenya
10,000
21.Rweyendera Ngonge
11,000
22. Festo Temu
10,000
23. Azaria Mulinda
10,000
24.Khatibu Kolofete
5,000
25. John Bukuku
25,000
26. Abel
10,000
27. Hafidh Kido
10,000
28. George Mtandika
16,000
29. Shy-Rose
Bhanji
200,000
30. Raymond Nkya
52,000
31. Maganga Sambo
10,000
32. Felix Mwakyembe
10,000
33. Abdul Diallo
5,000
34. Newton
Kyando
20,000
35. Galanos Myinga
20,000
36. Anonymous ( 200 Euro)
497,000
37. Yasinta
Ngonyani
50,000
38. Prosper/ Willy (
Japan)
314,000
39. Nuru
Mkeremi
131,000
40.
Anonymous
50,000
41. Josephine Mahimbo
50,000
42.
Anonymous
150,000
43. Heladius
Macha
30,000
44. Emma
Malele
10,000
45. Anonymous
60,000
46. Hendry
Mlay
35,000
47. Hosea Ngowi
10,000
48. Athuman
Zuber
5,000
49. Hyancinth
Komba
7,500
50. Edson
Kihongole
11,500
51. Godfrey Emmanuel
20,500
52. Deus M
27,000
53.
Sigisto Amon
10,000
54.
Issa Kubonya
10,000
55.
Richard Dalali
6,000
56.
Fadhili Mtanga
20,000
57. Polycarp Ngowi
5,000
58. Salehe Mfaume
10,000
59. Deodatus Balile
20,000
60. Moses Ringo
15,000
61. Dr Rukoma
100,000
62. Mobhare
Matinyi
100,000
63. Humphrey Simba
16,000
64. Fredrick Kyambile
10,000
65.John Mwakyusa
20,000
66. Abdul Njaidi
40,000
67. Fidelis Francis
10,000
68.Mutachumwa Mukandala
10,000
69. Augustino Lukosi
12,500
70. Goodluck Arobogast
20,000
71. Lusajo Mwasaga
15,000
72. Carolina Reynolds
5,500
73. Rugenamu Kawa
30,000
74. Innocent Kimario
5,000
75. Chadema UK
1,000,000
76. Josephat Mwagala
150,000
77. Sara Mawere
5,000
78. Deograsias
Hyasini
15,000
79. Anonymous
10,000
80. Said
Kambi
20,000
81. Cassian
Mayega
10,000
82. Mary
Glad
5,000
83. David
V
153,000
84.
Anonymous
100,000
85. Lingson Adam
21,500
86. Augustus Fungo
25,000
87.Seka Henjewele
5,000
88.Deusdith Bishweko
5,000
89.Robert Clemens
10,000
90.Isak Kabingo
10,000
91.Irene Massawe
10,000
92. Oliva Bujulu
11,000
93. John Lemomo
10,000
94. Joseph Rocket
500
95. Prosper Simon
5,500
Jumla:
5,130,000
( Milioni Tano Na Laki Moja Na Thelathini Elfu )
Michango zaidi bado inaendelea kutolewa. Mjengwablog itaendelea kupokea michango hiyo na kuikabidhi kwa mjane wa marehemu kama itakavyorekodiwa hapa. Hivyo, aliye dhamira ya kumsaidia mjane wa Marehemu bado anakaribishwa kutoa mchango wake. Mwisho wa kukusanya ni mwisho wa mwezi huu ( Septemba)
Michango zaidi bado inaendelea kutolewa. Mjengwablog itaendelea kupokea michango hiyo na kuikabidhi kwa mjane wa marehemu kama itakavyorekodiwa hapa. Hivyo, aliye dhamira ya kumsaidia mjane wa Marehemu bado anakaribishwa kutoa mchango wake. Mwisho wa kukusanya ni mwisho wa mwezi huu ( Septemba)
Unaweza kuchangia kwa kutumia;
M-Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money au NMB Mobile. Kwa namba 0754 678 252, 0712 95
61 31, 0788 111 765 ( Kwa walio nje mnaweza kutuma kwa Western Union, jina la
mpokeaji- Maggid Mjengwa, Tafadhali nijulishe kama utatuma kwa njia ya
Western Union )
Background:
Ndugu zangu,
Daud Mwangosi ambaye pia
alikuwa ' Mwanakijiji' mwenzetu hapa Mjengwablog hatunaye tena.
Nimemfahamu Daud Mwangosi
tangu mwaka 2004 nilipofika Iringa. Tangu wakati huo, amekuwa akiinipa
ushirikiano mkubwa kwenye kazi ya kutangaza shughuli za kijamii kwenye
Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi. Ni kwa kupiga picha za televisheni na
kurusha habari kwenda Channel Ten; Iwe ni kwenda naye Ilula au Njombe, Daud
Mwangosi alikuwa tayari kila nilipomwomba aongozane nami kwa shughuli ya
kijamii.
Mara nyingi nilimkuta Daud ofisini
kwake ( Picha ya kwanza juu) akichapa kazi na huku mkewe
akimsaidia kazi nyingine. Daud Mwangosi alikuwa mbunifu. Alikuwa ni mwenye kiu
ya kujifunza mambo mapya kwenye teknolojia ya habari na mawasiliano.
Najua Daud Mwangosi alikuwa na
malengo ya kuendeleza shughuli zake za ujasiriamali. Mbali ya mambo
mengine, alikuwa na Photocopy machine ya kumwongezea kipato ambayo
iliharibika mwaka jana. Akawa na ndoto ya kuwa na studio ndogo ya kupiga picha
za vipande ( Passport Size). Yote ni katika kumwongezea kipato kutunza familia
yake.
Leo Daud Mwangosi hayuko nasi.
Ameacha familia, mjane na watoto wanne; Itika Mwangosi ( Mjane)
Nehemia Mwangosi ( 17) Kidato cha Nne Malangali Sekondari, Hetzgovina
Mwangosi (12) Bathsheba Mwangosi (9) na Moria Mwangosi ( 2)
Namini Daud Mwangosi angependa
shughuli alizokuwa akizifanya ziendelee na zije kuwasaidia watoto wake pia.
Jana na leo nimewasiliana na mjane
wa marehemu Mwangosi ambaye bado yuko Tukuyu. Nikamwambia kuna ' Wanakijiji '
wa Mjengwablog walioguswa na msiba wa Mwangosi na wangependa kutoa pole yao
imsaidie katika kupata mwanzo kutoka hapa alipo sasa. Mjane wa Mwangosi
amefarijika sana kusikia habari hizo.
Kwa vile tayari ameahidiwa msaada wa
kusomeshewa watoto. Msaada anaouhitaji kwa sasa ni kupata photocopy machine (
Used) na kodi ya pango la ofisi. Jumla yake kwa yote hayo mawili
haitazidi shilingi za Kitanzania milioni mbili na laki mbili. Hivyo msaada
anaouomba kwa wenye mapenzi mema ni shilingi 2, 200,000 ( Shilingi milioni
mbili na laki mbili). Shughuli hizo zitamsaidia kujikimu.
Kutokana na hali aliyo nayo sasa,
Mwenyekiti wenu napendekeza nichukue jukumu la kuratibu michango hiyo.
Shime tushirikiane kufanikisha hili ili tumsitiri mjane wa mwenzetu Daud
Mwangosi.
Napendekeza ifikapo mwisho wa
mwezi huu ( Septemba) tuwe tumefanikisha zoezi hili kwa yeyote aliye
nacho, hata kama ni shilingi elfu tano, ni msaada mkubwa.
Mjengwablog bado tuna rekodi nzuri
katika kuchangishana kuwasaidia wenye kuhitaji. Itakumbukwa, huko
nyuma, kwa pamoja, tulifanikisha kukusanya michango ile ya watoto wa
Somalia na kuikabidhi UNICEF, Dar es Salaam. Ni zaidi ya shilingi milioni
mbili.
Tulifanikisha mchango wa kusaidia
ukarabati wa maktaba ya Kijamii kijijini Mahango, Madibira. Zaidi ya
shilingi milioni nne.
Sasa ni zamu ya kumchangia mjane wa
mwenzetu Daud Mwangosi. Kinachohitajika ni milioni mbili na laki mbili.
Naam, kutoa ni moyo, usambe ni
utajiri.
Mwenyekiti wenu na familia
yangu naanza kwa kuchangia shilingi laki moja.
Na kama kawaida, taarifa za
waliochanga na kiasi kilichopatikana kitawekwa kwenye blogu kwa kila mmoja
kuona.
Natanguliza Shukrani.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
0788 111 765
No comments:
Post a Comment