Wanafunzi wa sekondari ya Ilboru wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Tanzania kwenye banda la maonyesho wakati wa mkutano wa 14 wa Mazingira jijini Arusha. Kulia ni Mtaalam wa Mawasiliano wa UN Sangita Khadka Bista, Harriet Macha kutoka Kitengo cha Habari cha UN (UNIC) na Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Hoyce Temu
No comments:
Post a Comment