Monday, April 15, 2013

Habari picha safari ya mwisho ya Haji Mohammed, kuelekea Zanzibar kwa maziko, mwimbaji na mkurugenzi wa East African Melody.

 wapenzi wa Taarab wakishauriana jambo katika msikiti wa Shadhri mtaa wa Twiga na Sikukuu Kariakoo ulipolazwa mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Zanzibar leomchana.

 Mkurugenzi wa Gusagusa min Band Hassan Farouk akizungumza kwa uchungu 'Kwani sisi si ndugu zake? Kwanini hawa watu wa Zanzibar wanalazimisha asafirishwe leo, si alale ili nasi tujipange tuende nae kesho tuzike saa saba?"

 Mwili wa Haji Mohammed ukitolewa msikitini kupakiwa garini tayari kwa safari kuelekea bandarini.

                               Dua kabla ya kutoa sanduku msikitini.

 Wapenzi wa gusagusa mwenyewe marehemu alizoea kutuita wazee wa FB, tukiwa na Blaza Awadh.


No comments:

Post a Comment