Sunday, April 7, 2013

Ndoa ya Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula yafana.

 Mama Yolanda na mzee Philip Mangula wakila kiapo cha kuitunza ndoa yao mbele ya Askofu jana.

 Waziri Mkuu Mizengo pinda pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakipata picha ya pamoja na maharusi wapya mama yolanda na Mzee Mangula jana.

Picha kwa hisani ya fullsangwe blog.

No comments:

Post a Comment