Monday, September 3, 2012

Hii picha nimetokea kuipenda tu.....

Hapa Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama (TROIKA) kwa nchi za SADC, ambae pia ni Rais wa Tanzania akimwonyesha mgeni wake Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, namna mandhari ya mji wa Dar es Salaam ilivyo nzuri kutoka katika hoteli ya Kilimanjaro.

Rais Armando yupo nchini kuhudhuria mkutano wa TOIKA ambao pia utahudhuriwa na marais wengine wa nchi za SADC chini ya uenyekiti wa Rais Kikwete...

Picha kwa hisani ya Ikulu.

No comments:

Post a Comment