Thursday, September 6, 2012

Kamera ya jembe mtaani leo...

 Leo jamani nimekutana na jembe KC, mliosoma KIU kuna KC wawili, mmoja alisoma Computer na mwingine alisoma Mass Communication. Alimaliza mwaka jana amekuwa Marketing Officer katika Bank ya ICB. Hapa ni Coco Beach alinishawishi nijaze fomu ya mashindano sikumuangusha jembe langu...


 Biashara ya dawa za nguvu za kiume ndiyo inayowaweka mjini wamasai. Wanaume wote wakipona wamasai hawa lazima warudi longido wakaswage ng'ombe... Abrakadabra haitoisha dunia hii. Mjini Dar es Salaam ukitaka kutajirika uza dawa za nguvu za kiume...

 Ni muhimu sana kujua uzito wako mara kwa mara ili uweze kuongeza ama kupunguza pale ianposhaurika.

Jijini Dar es Salaam ukishinda na njaa ujue mwenyewe umependa tu. Maana ipo mihogo mpaka ya Tsh 200 na maji ya Tsh 100.

No comments:

Post a Comment