Wednesday, September 5, 2012

Polisi nao wana SADC yao...


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Saidi Mwema, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Afrika ya Kusini

No comments:

Post a Comment