Sunday, September 2, 2012

Picha zaidi tukio la mwandishi kuuwawa na jeshi la Polisi Iringa jana..

 Hapa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakimshambulia mwandishi Daud kabla ya bomu kulipuka.

Chini ni mabaki ya mwili wa mwandishi baada ya bomu kulipuka na polisi wakikimbia. eneo ni Nyololo, wilayani Mufindi Mkoa wa iringa.

No comments:

Post a Comment