Tuesday, September 4, 2012

Kamera ya jembe mtaani leo...

 Tazama huyu mtoto anavyohatarisha maisha yake kwa kudandia daladala. Dereva akipiga brake za hafla lazima aanguke. Posta hii mchana huu. Hizo picha zote tatu unazoziona nimezipiga katika Geti la Ikulu ya Tanzania kwa upande wa Kushoto zilipo Ofisi za Waziri Mkuu. Tazama maisha ya Watanzania hawa ambao wanapita pembezoni mwa Nyumba anayoishi Rais wa Nchi amabe ana maisha mazuri na mshahara mzuri anawasaidia vipi vijana hawa.

Leo jembe lenu chupuchupu niingie katika Mini Buzz zamani 'Daladala' basi dogo lina;otumiwa na Dani Kijo kutoa maini juu ya mada zinazoibuliwa na kurushwa katika kipindi cha TBC Taifa. Ila nilikuwa na ambo mengi ya kufanya mjini ila ningeingia nami nikachangia chochote.

No comments:

Post a Comment