Thursday, April 4, 2013

Ziara ya Waziri Samia Suluhu imeeendelea leo....Zanzibar.


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan  akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kushughukikia kutengeneza Passpot na Ukaazi Haji Hamza wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar, leo.


 Waziri Samia Suluhu akiangalia utendaji kazi katika ofisi hiyo le.


Waziri Samia Suluhu Hassan akiuliza jambo kwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Mwinchumu  Hassan Salum  kwenye chumba cha Kutunzia Kumbukumbu za Nyaraka za Kuzaliwa wakati wa Kuomba passpoti Nchini. Picha zote na Ali Meja wa ofisi ya Makamu wa Rais Tanzania.

No comments:

Post a Comment